Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea

Mwana FA ana PESA! sifa ya UBUNGE! watz walioangukia kwenye mfereji wa maji machafu hao!
Kama hauna uwezo wa kiuchumi tafuta pesa utaenda kuiba Hela za umma kuliko unaowaita wezi.Mataifa yote yaliyoendelea ndio maana yameweka kigezo Cha kiuchumi mbele Kwa Kila anayetaka kuwa kiongozi wa umma.
 
Tunatakiwa kujichagua miongoni mwetu ili tujiwakikishe.
Ujinga mkubwa ni kuchagua mtu asiye mwenzetu (kwa shida na Raha) kuwa mbunge.
Hata hivyo, wanasiasa wengi ni wajinga wanaobebwa na mfumo unaotokana na ujinga wa wananchi walio wengi.
 
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.

Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Kachomeni mikuki kaburi la kayafa aliyewapa ubunge was mchongo,..
Mpyuuiiii
 
Ukitambua tu kwamba wananchi hawana maamuzi ya mwisho ya kumchagua mbunge au Raisi Wala usingesema hayo
 
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.

Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Wabunge wenyewe ni akina " Nileteeni Gwajima" sioni kama kuna la maana wanweza wakajadili
 
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.

Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Dawa ni kuwapiga chini wabunge wote wa CCM hawatufai kabisaa kwa kama watarudi nitajua watz ni majuha
 
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.

Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Hawa sio wabunge wetu sababu hatukuwachagua.
 
Mwana FA ana PESA! sifa ya UBUNGE! watz walioangukia kwenye mfereji wa maji machafu hao!
Wabunge ambao wameshindwa kutetea wananchi,wabunge wanaofurahia watumishi kudhulumiwa,wabunge wanaopitisha tozo za dhuluma lazima tuwafuekelee mbali
 
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.

Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Hizo hasira hazina maana yoyote maana hawana fuko mbadala la kupindua meza anayewalipa kwa sasa anatazama nani ana mpinga kisha kumweka kiporo. Wengi hawata penda kugombea tena ndio maana wameamua ni bora uharifu uendelee mtajijua wenyewe
 
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.

Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.

"Yeye na wao wote maji ya nyanja." -- JKN
 
Yoote naona tunafanya wenyewe ,yule bibi aliyekataa kuhesabiwa kaongea mengi sana.
Mi wakinijengea barabara walau km 1 kutoka kwangu lami ianze nitawaona wa maana lakini ndio hivyo ni Tozo na barabara zinajengwa za mjini .
 
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.

Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Huyu mbunge ulimchaguwa wewe, huyu mbunge yupo kwa ajili ya wananchi au kwa maslahi yake na familia yake?
 
Back
Top Bottom