Kama hauna uwezo wa kiuchumi tafuta pesa utaenda kuiba Hela za umma kuliko unaowaita wezi.Mataifa yote yaliyoendelea ndio maana yameweka kigezo Cha kiuchumi mbele Kwa Kila anayetaka kuwa kiongozi wa umma.Mwana FA ana PESA! sifa ya UBUNGE! watz walioangukia kwenye mfereji wa maji machafu hao!
Kachomeni mikuki kaburi la kayafa aliyewapa ubunge was mchongo,..Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Wabunge wenyewe ni akina " Nileteeni Gwajima" sioni kama kuna la maana wanweza wakajadiliBunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Elimu ipi,Nikuulize ulicho mzidi mwana FA ni Nini maana binafsi namfahamu ? Sikufahamu ila mwana FA anayosifa ya kuwa mbunge ana Elimu,exposure,pesa na uongozi.
Dawa ni kuwapiga chini wabunge wote wa CCM hawatufai kabisaa kwa kama watarudi nitajua watz ni majuhaBunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Hawa sio wabunge wetu sababu hatukuwachagua.Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Wabunge ambao wameshindwa kutetea wananchi,wabunge wanaofurahia watumishi kudhulumiwa,wabunge wanaopitisha tozo za dhuluma lazima tuwafuekelee mbaliMwana FA ana PESA! sifa ya UBUNGE! watz walioangukia kwenye mfereji wa maji machafu hao!
Hizo hasira hazina maana yoyote maana hawana fuko mbadala la kupindua meza anayewalipa kwa sasa anatazama nani ana mpinga kisha kumweka kiporo. Wengi hawata penda kugombea tena ndio maana wameamua ni bora uharifu uendelee mtajijua wenyeweBunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Sijui ujinga wetu watanzania utaishi liniAhh kabisa
Wakipewa kofia, kanga,masinia ya pilau washasahau
Ova
Ndio baada ya kuwapa kanga mpya na mitandio mvae mkawachaguaKwani wako huko bungeni kwa kuchaguliwa?
Ndio baada ya kuwapa kanga mpya na mitandio mvae mkawachagua
Acheni Mungu aitwe Mungu.......
The late aliwaza nini kulazimisha kijani ku takeover
Vuzi zao zimenona kodi yetu
Unategemea nini kutoka kwenye Bunge ambalo Mbunge anasimama hadharani na kusema yeye ni Chawa wa Rais?
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.
Huyu mbunge ulimchaguwa wewe, huyu mbunge yupo kwa ajili ya wananchi au kwa maslahi yake na familia yake?Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea.