Uchaguzi 2020 Hasna Mwilima hafai kupeperusha Bendera ya CCM Kigoma Kusini

Kijana ubora wa uongozi unaupima kwa Maendeleo sio kunitajia orodha ya viongozi.
 
Ndiyo huyu alijisifia kuwa anawazidi urembo wale Wahudumu wa Bombadia na Boing siyo.Sema Wapiga kura muda mwingine akili huwa zinahama kabisa.Wanaancha mtu muhimu mwenye maono na weledi wanawaletea kioja tu. Huyo mama amekaa kishangingi tu hakuna anachoweza kukipigania kwenye maendeleo.
 
Kwa hivyo akipitishwa mtampa kura ili muendelee kuumia tena kwa miaka mitano au mtampa kura mpinzani? Uamuzi uko mikononi mwenu na sio kwa member wa kamati kuu. Watanzania wanatakiwa kuanza kupiga kura kumchagua mtu anaewafaa na sio chama anachotoka.
 
Sawa kafulila uliambiwa usiwe na tamaa matokeo yake umeangukia pua, mwache Asina ajimwambafai
 
Kama hamumtaki subirini muonyeshe hasira kwenye uchaguzi mkuu na msimamie kura zenu..tofauti na hapo mtakuwa mnaimba taarabu tu..
 
Utakuwa umetumwa na Tumbili wewe!
 
Ni kweli hafai ila kwakuwa kamlambisha mchanga Kafulila sisi tunamuona anafaa.

Husna ni mbunge hewa halafu Kafulila ni malaya wa kisiasa. Nani mwenye afadhali hapo????
 
Kijana ubora wa uongozi unaupima kwa Maendeleo sio kunitajia orodha ya viongozi.
Ndio maana akionakana hafai kiongozi inatakiwa abadilishwe, ikiwa namaana anabadilishwa kwa sababu hajakidhi matarajio ya waliomchagua.
 
Kiufupi, Kafulia amepishana na gari la mshahara jimbo hili 2020-25 lilikuwa lake!
 
Mtaumia kwa ujinga wenu,kwani ni lazima mchague ccm?
 
Huu ni unafiki au Mimi sielewi, nimelisikia hili mahali pengi kwamba alieshinda hapendwi, nani kampigia kura? Unamchaguaje mtu usiemtaka, usiemtaka kwann umpe kura yako? Ingekua humtaki, kura hukumpa, akashindwa, jina likaenda likarudi, hapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…