Uchaguzi 2020 Hasna Mwilima hafai kupeperusha Bendera ya CCM Kigoma Kusini

Kafanya kufuru ndio maana kashinda
 
Tena kafulila ni jipu kabisa kwanza kwanini anazunguka vyama Mara CDM, Nccr, Mara CCM Raisi kamtoa jalalani hakuwa nakazi akampa URAS badala angetulia na walipewa onyo, hakuwa mtii kaenda kugombea na kashindwa, Sasa ana mchafua huyo aliye mshinda.
Nawapongeza wajumbe kwa kumkata huyo kafulila mapema mno licha ya kutoa rushwa zake
 
Hapa ndio tuanapofeli watanzania kwan ni lazima umpigie kura yeye kwenye uchaguzi mkuu , mchagueni hata waupinzani mkiona anafaa , acheni kuchagua chama , kwa system hii mtaendelea kulia Sana , acheni kua na misimamo ya kijinga namna hiyo
 

Uchaguzi umefanyika na Husna kashinda; demokrasi inataka aliyepata kura nyingi ndiye apite labda kama ana mambo mengine yanayomkosesha sifa ambayo wapiga kura walikuwa hawajui. Ni kweli hata mimi sikufurahishwa na ushindi wa Husna kutokana na kauli zake mbovu; aliwahi kusema kuwa wafanyakazi wa ndege wana sura mbaya wakati yeye mwenye sura yake utadhani ana tumbo la kuhara. Kiongozi yoyote hatakiwi kutumia Bunge kuzungumzia maumbile ya watu wengine hasa hilo la ubaya wa sura za wanawawake.

Hata hivyo; hongera zake kashinda uchaguzi wa awali.
 
HATA BONA KALUA/KAMORI SEGEREA HAFAIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Huyu hapati kura yangu agost 28
 
Umesikika
 
 
Kawapiga tena? Huyu ni jike la Simba, sauti ya kuunguruma. Wamemkubali ndio maana wamempigia. Nasikia Kafulila kaula wa chuya; kakosa mwana na maji ya moto!!
 
Tumbili kapoteza uras kizembe sijui kwanini hatulii sehemu
Tamaa!! U RAS si cheo kidogo lakini kijana kakimbia kutafuta ubunge kapigwa na mwanamke. Hiyena hiyena wanasema kumkoma nyani gladi!
 
Tofauti ya mwakyembe na kimei ninafasi ,mwakyembe hakuwatendea haki Kyela kwa kujali maslahi ya nchi ,wakati uwakilishi umetoka kyela lakini kimei hakuwa na nafasi hiyo kimei akipewa hiyo nafasi nnamjua huyo mchaga anapenda wa kwao kitendo cha kuajiri wachaga wakutosha CRDB akiwa MD unaona wazi awezi kuwatelekeza watu wa jimboni kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…