Uchaguzi 2020 Hasna Mwilima hafai kupeperusha Bendera ya CCM Kigoma Kusini

Huna unalojua wewe Bora ukae kimya !!!
 
Kwani hiyo miaka mitano nyie mlimpigia kura??nyie mlimchagua kafulila yeye akafanya makeke yake akatangazwa. Sasa mlitaka awanyenyekee wakati hamkupigia kura.
 
Mlikosea kuchagua... ndio maana hamuwezi kupata maendeleo...
Kwani mbunge wa hapa ni wa chama gani?
Ccm woyeeer!!
 
Waliompigia kura hadi akaongoza ni wananchi wa Kenya?
Kura kapigiwa na wajumbe.

Na kwakilichotokea, wajumbe walisukumwa kuchagua waliowachagua kulingana na rushwa na sio walichotumwa na wanachama wanaowawakilisha.

So chaguo la mjumbe sio lazma liakisi chaguo la wananchi waliowatuma wajumbe.
 
Akipitishwa si-ndio raha yenyewe, kwamba mfanye kweli kwenye sanduku la kura. Kama uyasemayo ni ukweli na ukweli mtupu. Au huko nyie mnachagua CHAMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…