Hassan alikutana na Mary katika mtandao kwa facebook.Wameongea mda wa wiki mbili wakaamua kutana ana kwa ana katika mkahawa.Hassan alikua na shillingi elfu ishinirini, alimlipia Mary nauli ya teksi elfu kumi.
Walipofika kwa mkahawa Mary ameitisha kuku, soda na viazi ya shilingi elfu kumi na moja. Mary amemtuma hassan nje akanunue muda wa maongezi .Mary amesema anataka kuongea na mamake kwa simu. Hassan yuko nje anashanga afanyaje ? Pesa hazitoshi atoroke au La?
Anataka atoroke kisa elfu 10 ya kula tu? Kama vipi mwambie atoroke akaolewe maana kutunza mwanamke hawezi. Kwahiyo alikuwa anatongoza akijua siku anakutana na huyo mwanamke ataleta maparachichi wale
Anataka atoroke kisa elfu 10 ya kula tu?
Kama vipi mwambie atoroke akaolewe maana kutunza mwanamke hawezi. Kwahiyo alikuwa anatongoza akijua siku anakutana na huyo mwanamke ataleta maparachichi wale
Jamaa kabakiwa na 10 na oda ya msosi 11
Na vocha buku
jamaa kapelea buku 2 kwanza
hapo picha lipo kati limepanda moto
Km ni mpenzi wa MOVIE za kihindi za kitambo tunasema INTERMISSION