TANZIA Hassan Bantu afariki Dunia

TANZIA Hassan Bantu afariki Dunia

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mkazi maarufu wa mjini Morogoro, Hassan Bantu pichani chini amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikopelekwa baada ya kuugua kwa muda mfupi:

IMG_20210519_112606_697.jpg

Hassan Bantu alikuwa mfanyabiashara maarufu mzawa baina ya wengi wenye asili ya kiasia mjini humo.

Katika kipindi chake, Bantu amekuwa mwanachama wa kutegemewa wa CCM akishika nafasi nyingi za utendaji katika chama hicho kikongwe.

Alale pema peponi Hassan Bantu.
 
Hizi tanzia zitarudi kwa kasi ndani ya wiki hii,lengo ni watu wachache kutaka tupate chanjo ,wengine washavuta mpunga

Kwamba hawa marehemu wanaondoka kwa kasi ili nyie mlio hai mpate chanjo?

Usisahau hizi changamoto za kupumua ni mwendo wa mawimbi kwa mawimbi.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Apumzike kwa amani Hassan Bantu
 
Alale salama Hassan

Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Mkazi maarufu wa mjini Morogoro, Hassan Bantu pichani chini amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikopelekwa baada ya kujivua kwa muda mfupi:

Hassan Bantu alikuwa mfanyabiashara maarufu mzawa baina ya wengi wenye asili ya kiasia mjini humo.

Katika kipindi chake, Bantu amekuwa mwanachama wa kutegemewa wa CCM akishika nafasi nyingi za utendaji katika chama hicho kikongwe.

Alale pema peponi Hassan Bantu.
Ebu twambie umaarufu wa huyu mtu maana naona unamsifia sifia tuuu
 
Back
Top Bottom