Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalii wa nje
Ebu twambie umaarufu wa huyu mtu maana naona unamsifia sifia tuuu
Ije mara ngapi?
Hii itakuwa awamu ya 4.
Namuona kama mmatumbi tu kumbe ni mwenye asili ya asia? Mungu aiweke roho yake mahala pema,nimeona wana Morogoro wengi wanamlilia inaonekana alikuwa mtu mwema sana. Tenda wema legacy yako itadumu ,lete maneno matamu legacy yake haitafika hata Manzese!
Kwan sabb ya kifo chake ni Corona?mbona mnaleta habri za chanjo...mleta mada ni vyema ungefafanua chanzo Cha kifo
Unazihesabia wapi hizo wimbi 4 jombi? Hivi unajua hata ripoti ya mama kuhusiana na hili gonjwa ilisema nini kweli?
Ila usisahau hii ni awamu ya sita. Vita vya kiuchumi viliondoka na mwendazake.
Kwa hyo tupo wimbi la ngapi?
Takatisha sentensimfanyabiashara maarufu mzawa baina ya wengi wenye asili ya kiasia
Binadamu wote wazushi tuRound ya tatu ipo njiani tukae mkao wa kula
Takatisha sentensi
Binadamu wote wazushi tu
Ni CCM sema nae ana ndugu na familia,Apumzike kwa Amani mwana Moro.Kumbe LiCCM, TEAM JEHANAMU.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hahahahhahhahaNi CCM sema nae ana ndugu na familia,Apumzike kwa Amani mwana Moro.
Mwana Moro Kitambo huyo,Kuanzia miaka ya 80 mpaka 90 Nguo za Skukuu na Uniform za Shule ni lazima uwaone wao BANTU STORE ndiyo upendeze.Ukija kwenye Soccer Ndiyo Wana JAMAICA chama letu la Moro.Apumzike kwa Amani Mwana.huyu jamaa kweli ni maarufu..mimi nimekaa moro, jina lake ni maarufu lakini sikuwahi kumjua na wala sijui anafanya nini... nimepita hapa nahisi nitapata majibu
Soma kwenye tangazoUmesoma wapi kuwa alikuwa muasia?
Huyu bwana alikuwa mmatumbi kamili.
Tumeshona sana nguo Bantu store, kweli mdauMwana Moro Kitambo huyo,Kuanzia miaka ya 80 mpaka 90 Nguo za Skukuu na Uniform za Shule ni lazima uwaone wao BANTU STORE ndiyo upendeze.Ukija kwenye Soccer Ndiyo Wana JAMAICA chama letu la Moro.Apumzike kwa Amani Mwana.