mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wale wazee walikula. Hela za bure za kamati ya Corona.
Ukasome kwenye ripoti ya mama.ya wataalamu wabobezi wa virusi. Unayouliza yamo mle.
Ripoti hiyo ipo humu JF pia, kwa ufasaha sana.