Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Eng Hersi, inaonekana amekwishashinda nafasi ya urais ndani ya yanga, ni dhahiri kabisa kuwa GSM kwa sasa ni Mali ya yanga baada ya asilimia zote za umiliki wa timu hiyo kuwa GSM, Eng Hersi tangu mwanzo alipenda sana kufanya kazi na Manara, alitamani Manara awe msemaji rasmi wa Yanga lkn akina Msolla walisimama na Bumbuli, Manara akawa anaonekana kwenye matukio maalum, lkn kwa sasa Manara anatamba na kwa vyovyote vile Bumbuli hatoweza tena kuwa semaji la Yanga baada ya aliokuwa akifanya nao kazi kutogombea baada ya kubaini kuwa upepo haukuwa upepo wao, Mwakalebela na usomi wake wote akageuka kuwa chawa wa Eng Hersi ili apewe kazi, nakuhurumia Bumbuli, sasa njaa kali inakurudia.
Manara kashakuharibia ugali wako.
Pole sana
Manara kashakuharibia ugali wako.
Pole sana