Hassan Bumbuli tafuta kazi mapema, Eng Hersi hawezi fanya kazi na wewe, atasimama na Manara

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Eng Hersi, inaonekana amekwishashinda nafasi ya urais ndani ya yanga, ni dhahiri kabisa kuwa GSM kwa sasa ni Mali ya yanga baada ya asilimia zote za umiliki wa timu hiyo kuwa GSM, Eng Hersi tangu mwanzo alipenda sana kufanya kazi na Manara, alitamani Manara awe msemaji rasmi wa Yanga lkn akina Msolla walisimama na Bumbuli, Manara akawa anaonekana kwenye matukio maalum, lkn kwa sasa Manara anatamba na kwa vyovyote vile Bumbuli hatoweza tena kuwa semaji la Yanga baada ya aliokuwa akifanya nao kazi kutogombea baada ya kubaini kuwa upepo haukuwa upepo wao, Mwakalebela na usomi wake wote akageuka kuwa chawa wa Eng Hersi ili apewe kazi, nakuhurumia Bumbuli, sasa njaa kali inakurudia.

Manara kashakuharibia ugali wako.

Pole sana
 
Ikiwa Hersi atashika hatamu basi Bumbuli hana chake pale maana kimsingi Manara hakuwekwa pale na Yanga wanachama, aliingia kama mfanyakazi wa GSM. Bumbuli alikuwa msemji kwa mgongo wa Msolla na Manara alikuwa msemaji kwa mgongo wa GSM.

Nafikiri hilo liko wazi.
 
Eng Hersi, inaonekana amekwishashinda nafasi ya urais ndani ya yanga, ni dhahiri kabisa kuwa GSM kwa sasa ni Mali ya yanga baada ya asilimia zote za umiliki wa timu hiyo kuwa GSM, Eng Hersi tangu mwanzo alipenda sana kufanya kazi na Manara, alitamani Manara awe msemaji rasmi wa Yanga lkn akina Msolla walisimama na Bumbuli, Manara akawa anaonekana kwenye matukio maalum, lkn kwa sasa Manara anatamba na kwa vyovyote vile Bumbuli hatoweza tena kuwa semaji la Yanga baada ya aliokuwa akifanya nao kazi kutogombea baada ya kubaini kuwa upepo haukuwa upepo wao, Mwakalebela na usomi wake wote akageuka kuwa chawa wa Eng Hersi ili apewe kazi, nakuhurumia Bumbuli, sasa njaa kali inakurudia.

Manara kashakuharibia ugali wako.Pole sana
haikuhusu binti

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kwani ulitegemea Bumbuli atafanyakazi milele pale Yanga. Bumbuli anafanyakazi Kwa taaluma yake, hakujikomba na ata akiondolewa Yanga bado taaluma inayomuweka mjini anayo.

Yanga Ina watu wawilitu ambao wako miaka mingi sana na sifikri kama wataondolewa mojakwa Moja.
Kuna Yule mtunza vifaa, na Dkta Mgazija.
Dkta Mngazija nimeanza kumuona Yanga tangu miaka ya themanini akiwa kijana mbaka leo bado yupo.
 
Hata yule Hafidh Saleh ambaye ni Manager wa timu yupo miaka mingi sana
 
Zeruzeru ameshaanza kujiita msemaji rasmi wa Yanga,hii inafikirisha sana
 
si elewi kwanini msolla akuchukua form kugombea tena urais ???? au ndiyo tena tumeisha uzwa kinyemela
 
Kwani ulitegemea Bumbuli atafanyakazi milele pale Yanga. Bumbuli anafanyakazi Kwa taaluma yake, hakujikomba na ata akiondolewa Yanga bado taaluma inayomuweka mjini anayo.

Yanga Ina watu wawilitu ambao wako miaka mingi sana na sifikri kama wataondolewa mojakwa Moja.
Kuna Yule mtunza vifaa, na Dkta Mgazija.
Dkta Mngazija nimeanza kumuona Yanga tangu miaka ya themanini akiwa kijana mbaka leo bado yupo.
yule mtunza vifaa kitambo sana
 
Back
Top Bottom