ninosi
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 151
- 333
Matokeo ya leo yametuhuzunisha, huzuni imeongezeka maradufu kutokana na makelele na vicheko vya watani zetu.
Wanatucheka, wanatusema, wanatutambia! Ni haki yao, kwani kwa hakika wao wanarekoni nzuri na bora zaidi kuliko sisi kwenye michuano ya kimataifa.
Wanarekodi ya kucheza Fainali ya Kombe la CAF (Sasa Shirikisho) 1993. Na misimu hii mitatu kuanzia 2020/21 hadi leo, watani wameshinda mechi 5 kati ya 14 za Kimataifa akiwa ugenini (As Vita, Plateau, Galaxy, Nyasa, Agusto).
Kwenye uwanja wa nyumbani wao wanatamba sana wameshinda mechi 13 kati ya 14, kati ya hizo wameshida mechi 6 za group stage na mbili za Robo Fainali.
Hatuna cha kuwatambia kwenye hili, sisi katika mechi 13, tumeshinda mechi 3 tu, ugenini 2 (Township na Zalan🤔) na kupoteza 6, nyumbani tumeshinda mechi 1 (Zalan), tumefungwa 2 (Pyramids, Rivers) na sare 4 (Township, Zesco, Hilal na African).
Acha watucheke, wanayo sababu ya kutucheka, vicheko vyao vitufanye tutafute maarifa zaidi ya kufanya vizuri ili kuzima kelele za vicheko vyao.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
NB: NAONA UTO BAADHI AKILI ZIMEANZA KUWARUDI.