Hassan Dilunga HD amejimaliza kisoka kwenda JKT Tanzania

Hassan Dilunga HD amejimaliza kisoka kwenda JKT Tanzania

Atarudi tu akiwa strong jamaa alikuwa na kipaji sana atarudi .
Simba wapumbavu hawana wachezaji wa kueleweka bado wanatema wachezaji wazuri.
Wasingeweza ku risk kubaki na mchezaji ambae ana misimi miwili hajacheza
 
Mbona wanasimba akili ZETU zimenyoka vizuri sana unatuaibisha!!!!!

1. Dilunga Ametoka Majeruhi Hana uhakika WA kuvumiliwa na simba

2. Dilunga anakwepa pressure ya MATOKEO na kiwango chake ndani ya Simba.

3. Dilunga anahitaji Muda zaidi wa KUCHEZA MPIRA kuwa Regural starter.

4. Amepiga Hesabu vizuri angeongeza Mwaka mmoja Simba kulikuwa na uwezekano wa kukosa timu kabisa Nje ya Simba kwa sababu ya umli.

5.NB. CHEZAJI KUONDOKA KWENYE TIMU SI DHAMBI.

Ningetamani Simba wamrudishe shiza kichuya KUCHUKUA nafasi ya Dilunga kuongeza quality ya Wachezaji wa ndani.

NIKIWA KAMA MWENYEKITI WA SIMBA HAPA JF NINAOMBA UWE UNAJENGA HOJA USIWE UNAROPOKA KAMA WALE WA KABWILI FC UTOPOLO.
 
Hivi nyie wachezaji wa bongo anawashauri nani? Yaan uikache timu inayokwenda kushiriki Super League, timu inayokwenda pre season ulaya, timu inayocheza ligi ya mabingwa unaenda kuchezea timu ambayo kila baada ya misimu 2 lazima ishuke daraja.Kweli akili hiyo?

Wewe Dilunga kwa umri uliokuwa nao, ulikuwa na msimu mmoja t wa kumaliza career yako ya soka, huko JKT ushapoteza kaka.

Kama unaona kwa kufanya hivyo unaikomoa Simba umejidanganya
Mwenzio amelenga ajira serikalini. Wewe unaangalia soka inayodumu msimu 1 au miwili.

Usimpangie
 
Back
Top Bottom