monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Wasingeweza ku risk kubaki na mchezaji ambae ana misimi miwili hajachezaAtarudi tu akiwa strong jamaa alikuwa na kipaji sana atarudi .
Simba wapumbavu hawana wachezaji wa kueleweka bado wanatema wachezaji wazuri.
Mwenzio amelenga ajira serikalini. Wewe unaangalia soka inayodumu msimu 1 au miwili.Hivi nyie wachezaji wa bongo anawashauri nani? Yaan uikache timu inayokwenda kushiriki Super League, timu inayokwenda pre season ulaya, timu inayocheza ligi ya mabingwa unaenda kuchezea timu ambayo kila baada ya misimu 2 lazima ishuke daraja.Kweli akili hiyo?
Wewe Dilunga kwa umri uliokuwa nao, ulikuwa na msimu mmoja t wa kumaliza career yako ya soka, huko JKT ushapoteza kaka.
Kama unaona kwa kufanya hivyo unaikomoa Simba umejidanganya