Hassan Dilunga HD ataonekana Kombe la Mapinduzi akionyesha uwezo

Hassan Dilunga HD ataonekana Kombe la Mapinduzi akionyesha uwezo

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kiungo mahiri wa Simba ambaye alikuwa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha, Hassan Dilunga HD ataonekana kule visiwani Zanzibar akipambania namba kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi Zanzibar.

Dilunga, ambaye mashabiki tunamkumbuka mno kwa mchango mkubwa ndani ya Simba anatarajia kurudi tena kwnye dirisha dogo endapo viongozi wataridhika na uwezo wake, ila mm nawashauri viongozi wa Simba, mchezaji mzuri huwezi kumpima kwa mechi 2 au 3, Dilunga uwezo wake haihitaji majaribio.

Welcome again Hassan Dilunga HD.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Nimeifurahia hii habari..itasaidia kuonekana hata na vilabu vingine
 
Back
Top Bottom