mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Daah naona nilichanganya madesa mkuu.Ni mbunge wa ccm aliyemaliza muda wake mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah naona nilichanganya madesa mkuu.Ni mbunge wa ccm aliyemaliza muda wake mkuu
Soma vizuri husisha UBONGO wako utaelewa vizuri.,AU wewe utakuwa SLOW LEARNER??😅😂😂😁🤣🤣Nilidhani ni mimi mwenyewe.
MkuuHeshima kwenu.
Huyu jamaa yupo kituo cha polisi toka 10:30 jioni .
Kosa au maelezo anayochukuliwa ni la la kutotimiza ahahadi ya Bajaji kwa kwa Mzee Chitanda ,ambaye alipata ajali na kukatwa Mguu 2015 akiwa anashangilia ushindi wa masala 2015.
Mzee Chitanda alipata ajali wakati akiwa anashangilia kushinda kwa ubunge mwaka 2015,baada ya ajali mzee Chitanda alikatwa mguu.
Ahahadi hiyo ya massala kushindwa kumnunulia bajaji haikutekelezwa na ndio imekuwa msingi wa harassment yake in relation ya yeye kuhamia ACT WAZALENDO
Wanafanya delay tact, mwanzo kakataliwa kuchukua fomu ya ACT wazalendo.
Swali ahadi ya 2015 mpaka leo ndio anashikiliwa BANGO. Huu ndio mwanzo petty politics za BONGO.
Ndimi UKANA SHILUNGO.
YTK pub NACHINGWEA. 😅😅😅😂😂
Vuta pumbu. huyoNini wewe?
Mkuu tuonane badae hapo zurich pub tupige vyombo anyway ndo ivo wanambania jamaaHeshima kwenu.
Huyu jamaa yupo kituo cha polisi toka 10:30 jioni .
Kosa au maelezo anayochukuliwa ni la la kutotimiza ahahadi ya Bajaji kwa kwa Mzee Chitanda ,ambaye alipata ajali na kukatwa Mguu 2015 akiwa anashangilia ushindi wa masala 2015.
Mzee Chitanda alipata ajali wakati akiwa anashangilia kushinda kwa ubunge mwaka 2015,baada ya ajali mzee Chitanda alikatwa mguu.
Ahahadi hiyo ya massala kushindwa kumnunulia bajaji haikutekelezwa na ndio imekuwa msingi wa harassment yake in relation ya yeye kuhamia ACT WAZALENDO
Wanafanya delay tact, mwanzo kakataliwa kuchukua fomu ya ACT wazalendo.
Swali ahadi ya 2015 mpaka leo ndio anashikiliwa BANGO. Huu ndio mwanzo petty politics za BONGO.
Ndimi UKANA SHILUNGO.
YTK pub NACHINGWEA. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
Kuna Mtu katika kampeni 2015 mchana kweupee alituahidi milion 50 kila Kijiji atakamtwa lini?Kifungu cha 75 kuunga juhudi
Aksante sana mkuu nitakuja kuanzia 3 kamili usijaliMkuu tuonane badae hapo zurich pub tupige vyombo anyway ndo ivo wanambania jamaa
Aksante sana mkuu kwa logical and intensive response kwa hii thread.Naona jamaa wanaishiwa punziMkuu
Hii ishakua police state.....
Mwanzoni wakati hizi taasisi moja baada ya nyingine zilipokua zinashughulikiwa kuna wapumbavu walikua wakenua mimeno sana...
Sasa kuja kustuka kila taasisi kumbe zinaendeshwa na mtu mmoja tu dunia hii.....
Tutapata shida sana....
Kama rule of law haifatwi ni hatari sana....wanaweza weaponize anything to silence anybody at any time...
Utasema ooh serikali inafata rule of law ndio maana polisi imemshika muhusika,ni kesi ya madai,lakini kwavile kuna mtu yupo juu ya sheria atapiga simu kwa hakimu au jaji anyimwe dhamana..
Worse atapiga simu mtu apewe kesi ya uhujumu uchumi....yaani judiciary imekua weaponized na mwenye enzi kuu na madaraka yote hivyo rule of law goes outta window....hakuna wa kuuliza na ku-challenge anything...
Ni maajabu kuna Watanzania wanaona haya wanafurahia mwenyekiti wao "kasimamia".....
Ni jamhuri ya vichaa haifuati sheria yeyote....simu moja tu au text msg au jina likitajwa la mtu basi vitabu vyote vya sheria za nchi na uhuru wa majaji na mahakimu kufanya maamuzi kufuata codes and ethics goes under water..
Hatuna nchi hapo....hakuna mtu anakuja kuwekeza kwenye jungle republic kama hii ambayo rule of law hakuna!
Very very very sad!
huyu mwamba tunafahamiana vizuri tu tangu akiwa mwalimu wa primary,atulie aache papara ana safari ndefu sana ya kisiasa.
Cha mizoga kuizika mizoga wenzao bila taarifaWamemkamata kwa kutumia kifungu gani cha sheria?
SASA HILI NI SHAURI LA MADAI UNAMUWEKAJE MTU MAHABUSU KAMA NI KWELI BASI NZI WA KIJANI NI WAOGA ZAIDI YA KUNGURUHeshima kwenu.
Huyu jamaa yupo kituo cha polisi toka 10:30 jioni .
Kosa au maelezo anayochukuliwa ni la kutotimiza ahadi ya Bajaji kwa kwa Mzee Chitanda, ambaye alipata ajali na kukatwa Mguu 2015 akiwa anashangilia ushindi wa masala 2015.
Mzee Chitanda alipata ajali wakati akiwa anashangilia kushinda kwa ubunge mwaka 2015, baada ya ajali mzee Chitanda alikatwa mguu.
Ahadi hiyo ya massala kushindwa kumnunulia bajaji haikutekelezwa na ndio imekuwa msingi wa harassment yake in relation ya yeye kuhamia ACT WAZALENDO
Wanafanya delay tact, mwanzo kakataliwa kuchukua fomu ya ACT wazalendo.
Swali ahadi ya 2015 mpaka leo ndio anashikiliwa BANGO. Huu ndio mwanzo petty politics za BONGO.
Ndimi UKANA SHILUNGO.
YTK pub NACHINGWEA. 😅😅😅😂😂
HII NCHI BHANA HAISHIWI VIBWEKAKosa lake ni kutotoa shukrani hadharani kwa kukatwa Jina na yesu wa ccm.
Siasa za majitaka kakaSASA HILI NI SHAURI LA MADAI UNAMUWEKAJE MTU MAHABUSU KAMA NI KWELI BASI NZI WA KIJANI NI WAOGA ZAIDI YA KUNGURU
Masala atulie,ni kijana mzuri Sana katika suala zima la uongozi,nilikuwa naye pia katika chuo cha diplomasia kurasini,atulie asije akaharibikiwa pakubwa,akumbuke kuwa katika siasa uvumilivu unahitajika sanaNa Shahada yake ya kwanza ya Elimu aliipata pale DUCE mwaka 2008! Na alifanikiwa pia kuwa Rais wa Serikali ya Wananfunzi wa hicho chuo cha ualimu kwa miaka hiyo.
Ghafla bin vuu, baada ya kumaliza chuo, tunashangaa kateuliwa na JK kuwa DC wa Kilombero, na baadae huko Kigoma kabla ya kwenda kumgaragaza Waziri wa JK wa wakati huo Mathias Chikawe kwenye mchakato wa kura za maoni na mwisho wa siku kujishindia ubunge.
Cha msingi tu awe makini. Iwapo ataukosa huo Ubunge kupitia hicho chama chake kipya, basi ajiandae kunyanyapaliwa na magufuli. Maana mzee ana fitina na vitisho mpaka basi dhidi ya wale wote wanaompinga.