Hassan Kashoba ndio nani

Hassan Kashoba ndio nani

fredism

Senior Member
Joined
Sep 6, 2017
Posts
151
Reaction score
151
Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k
 
Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k
Pita kule X kwenye page ya Mange Kimambi kaelezewa vizuri na utaona mpaka Mawaziri walivyo kuwa wana pledge michango ya Harusi. Mtu anatoa 30M mchango wa Harusi
 
Niliona Riziwani Kikwete alichangia Milioni 20 😀😀 ,Dalali wa DP WORLD amepost sana hiyo harusi.
 
Back
Top Bottom