F fredism Senior Member Joined Sep 6, 2017 Posts 151 Reaction score 151 Jul 14, 2024 #1 Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k
Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k
B Barbiedoll JF-Expert Member Joined Apr 7, 2023 Posts 772 Reaction score 2,150 Jul 14, 2024 #2 Ebu tuone hizo picha labda tutapata majibu
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 16,464 Reaction score 35,629 Jul 14, 2024 #3 fredism said: Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k Click to expand... Pita kule X kwenye page ya Mange Kimambi kaelezewa vizuri na utaona mpaka Mawaziri walivyo kuwa wana pledge michango ya Harusi. Mtu anatoa 30M mchango wa Harusi
fredism said: Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k Click to expand... Pita kule X kwenye page ya Mange Kimambi kaelezewa vizuri na utaona mpaka Mawaziri walivyo kuwa wana pledge michango ya Harusi. Mtu anatoa 30M mchango wa Harusi
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jul 14, 2024 #4 Niliona Riziwani Kikwete alichangia Milioni 20 😀😀 ,Dalali wa DP WORLD amepost sana hiyo harusi.
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 24,386 Reaction score 57,588 Jul 14, 2024 #5 Kaoa kwa Jumanne Kishimba.Ni mzaramo mmoja hivi .
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Jul 14, 2024 #6 Genge la Msoga na GSM