Hassan Kessy utoto ulikusumbua sasa ukue. Mpira ni kazi si mapenzi

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
IMG-20180729-WA0011.jpg

Inasikitisha sana. Wachezaji wa team zetu wengi hushindwa kujitambua na matokeo yake wanaweka mapenzi katika hizi team na baadaye wanakuja umia wanapokutana na changamoto za kimaisha.

Unapohama Yanga kwenda Simba ufaham kuwa unabadilisha ofisi ya kazi kama ambavyo unapohama Simba kwenda Yanga inavyokuwa. Sasa wachezaji mnapoweka Utoto na Mapenzi mbele mnajiharibia hata kazi zenu binafsi. Yanga uliipenda si jambo baya lakini ungeweka weledi mbele zaidi.

Huwezi ukaambiwa tu subiri tutakupa feedback bila hata kupeana deadline ya feedback. Matokeo yake masaa 9 kabla ya Dirisha kufungwa Unaambiwa hawataweza kukuchukua klabu haina pesa. Huu ni uhuni mkubwa sana kumfanyia mchezaji.
 
Unaweka je mpenz kwenye kaz
Hakuona wenzie ulaya wanaweka
Kaz mbele na co mapenz kwa tim

Ww ale upo kikaz Sasa unapenda
Kuwaweka ushabikwa dam unategemea nn

Ukipanda mawe unavuna mawe na co mahind
 
Mpira wa Bongo ni kizungumkuti,Kukomoana,dharau na kila bayaa shingai kwa sababu ni tanzania Ingekuwa Ulaya ningeshangaa
 
Beckham to Madrid!
Henry to Barcelona!
Ronaldo to Juventus!
Neymar to PSG!
Wenzetu wanaangalia Pesa tu!
 
Kwenye mpira ni pesa mbele mapenzi baadae. Kama mchezaji anaweka mapenzi na team atakua na utindio.
 
View attachment 821651
Inasikitisha sana. Wachezaji wa team zetu wengi hushindwa kujitambua na matokeo yake wanaweka mapenzi katika hizi team na baadaye wanakuja umia wanapokutana na changamoto za kimaisha.

Unapohama Yanga kwenda Simba ufaham kuwa unabadilisha ofisi ya kazi kama ambavyo unapohama Simba kwenda Yanga inavyokuwa. Sasa wachezaji mnapoweka Utoto na Mapenzi mbele mnajiharibia hata kazi zenu binafsi. Yanga uliipenda si jambo baya lakini ungeweka weledi mbele zaidi.

Huwezi ukaambiwa tu subiri tutakupa feedback bila hata kupeana deadline ya feedback. Matokeo yake masaa 9 kabla ya Dirisha kufungwa Unaambiwa hawataweza kukuchukua klabu haina pesa. Huu ni uhuni mkubwa sana kumfanyia mchezaji.
Daaaaaah wakt mwingne Manara anaongea kwa hekima sana.
 
Nasikia alitaka M60 wakagoma
Akashusha hadi M45 na gari
Tanzania hii kuna beki wa pembeni tena kulia wa mil.60? Mnatania wakati mwingine. Au Yusuph Bana? Kati ya mambo waliyonifurahisha viongozi wa Yanga japo ni wa ovyo ni hili. Na liwe fundisho kwa wachezaji wengine kujipandisha thamani wasiyokuwa nayo. Timu ina mtaji gani wa kununua mchezaji tena anarenew mkataba kwa mil.60?
 
Kwa nini simba na yanga? Simba nayo imekukosea nini? Maana kuna ugonjwa mtu hawezi ikosoa simba mpaka aweke na yanga na hawezi ikosoa yanga mpaka aweke na simba?huu ugonjwa unasababishwa na nini?

Simba Na Yanga Ni Magenge ya wahuni wa Kariakoo
 
Tatizo si Kumkataa , ila ni kusubiri dakika za mwishoni sana kumfanyia vitna ya namna hiyo. Kwan nani analaumu kwa yanga kukataa kumlipa hiyo pesa?kama waliona hana thaman hiyo wangemwambia tu kuwa tafuta team itakayokuona una thaman hiyo sisi tumeshindwa.

your comment base on this incidence, mine base on trend
 
Tatizo si Kumkataa , ila ni kusubiri dakika za mwishoni sana kumfanyia vitna ya namna hiyo. Kwan nani analaumu kwa yanga kukataa kumlipa hiyo pesa?kama waliona hana thaman hiyo wangemwambia tu kuwa tafuta team itakayokuona una thaman hiyo sisi tumeshindwa.
Kama waandishi wa habari hawakutudanganya, waliwahi kuandika amekataa 40m!! Sasa mtanzania wa kawaida anawezaje kukataa mil.40 kwa miaka 2? Yaani mil. 1.6 kwa mwezi mbali ya mshahara na posho nyinginezo? Kwani hiyo timu ya Yanga inapata nini kwake cha kuzidi 40m? Big up Yanga kwa hili!
 
Kessy alikuwa anajifananisha na Kelvin wakati yeye ni wa kawaida tu! Timu ina wakati mgumu anataka hela ndefu! Tunamtakia safari njema huko aendako
 
Back
Top Bottom