Hassan Kessy utoto ulikusumbua sasa ukue. Mpira ni kazi si mapenzi

Katika Jambo #Ndala Walilonifurahisha Ni Kumpiga na Chini Huyu dogo manake Alitufanyia Dharau Sana Wanasimba.
Hongereni Yanga Ninawapongeza Kwa Kutulipia Kwa Aliyotufanyia.
 
Katika Jambo #Ndala Walilonifurahisha Ni Kumpiga na Chini Huyu dogo manake Alitufanyia Dharau Sana Wanasimba.
Hongereni Yanga Ninawapongeza Kwa Kutulipia Kwa Aliyotufanyia.
Huu nao ni uzwazwa
 
Kapumbafu sana kale katoto. Manina zake ngoja kakauze ndimu akili ikae sawa. Labda karudi Mtibwa kupalilia Miwa.
 
Katika Jambo #Ndala Walilonifurahisha Ni Kumpiga na Chini Huyu dogo manake Alitufanyia Dharau Sana Wanasimba.
Hongereni Yanga Ninawapongeza Kwa Kutulipia Kwa Aliyotufanyia.
Sana tu yaani huyu paka huyuu!!acha aone rangi zote
 
Kuna funzo kubwa sana hapa si kwa wachezaji wa mpira tu hata katika maisha ya kawaida ndani ya jamii zetu pale unapoondoka mahali hata kama unaenda sehemu nyingine nzuri kiasi gani usitoe maneno ya kashfa juu ya sehemu unayoondoka. Kwa sababu hatujui ya kesho huenda tukalazimika baadae kurudi pale tulipoondoka mwanzo.

Lakini huyo dogo ana mihemko sana pamoja na kipaji chake. Anapaswa ajiulize mara mbili mbili kwa nini timu zote kubwa zilimkacha wakati anavutana na Yanga? Sio Simba, Azam, Mtibwa wala Singida waliohangaika naye.

Huyo Kesi kuna msimu alisababisha simba ikakosa ubingwa katika mazingira ya kutatanisha sana. Kimsingi wachezaji wetu wanapaswa kujua mpira ni kazi yao wasilete ushabiki wala wasikubali kutumika kuhujumu timu nyingine. Kwani anyekutumia kuhujumu leo kesho akikusajili bado atakosa imani na wewe kuwa unaweza kutumika kuhujumu kama alivyokutumia kuhujumu timu pinzani.

Kimsingi Kesi ajifunze sasa aache utoto, apunguze mihemko na asijione staa kwani bado ana safari ndefu sana. Atulie acheze mpira kwani bado umri unamruhusu kucheza kwa muda mrefu ujao.
 
Salamba naye akileta Uyanga Uyanga wake tutamtimua Msimbazi
 
Salamba naye akileta Uyanga Uyanga wake tutamtimua Msimbazi
Salamba anajitambua sana tu, huwezi kumfananisha na Kessy. Huyu salamba hata alipoondoka LFC aliwaaga kwa maneno ya hekima sana
 
Alie na wakala wake aliyemshawishi atake dau kubwa, 'Akili za kupewa changanya na zako'
 
of course wachezaji wetu wajitambue huwezi kukaa tu ilhal huna timu ya kuchezea, means upo huru kabisa
#atapata_tabu_sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…