OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
we mzima kweliTunaangalia tv mkuu hamna aja ya kuelezea
ShunieMuache mkuu wengine hatuna tv
Bado mapambano manne ndio watamalizia waoPambano la mwakinyo linafanyika muda gani?
Wako live kwenye tv tu sio youtubeUngeweka live Access basi
Professionals wanapigana usiku sana kawaidaHili pambano naona litafanyika kesho
Mkuu naomba ufafanuzi wanaposema light weight au hevy weight wanamanisha uzito huu wa mwili au ni lugha tu inatumika lkn ni vigezo tofauti? Na Kama ni uzito inamaana ukiongeza uzito unaongeza kigezo cha kuwa hevy weighs?
Hahaha, mashabiki Wa boxing wenyewe wanajuaMichezo mingine ndio maana inakosa mashabiki, mamechi mengi ya utangulizi si yangeanza saa tano asubuhi huko.
aaah kwa hiyo hamtaki kuongeza wapya?Hahaha, mashabiki Wa boxing wenyewe wanajua
Azam tv AppWakuu hamna live stream kwenye mtandao??
(Wale wakujibu inaoneshwa azam2 msinijibu maana hamuelewi dunia inaendeleaje)
Dah sina hiyo. Inalipiwa?Azam tv App