Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1537327
View attachment 1537328
Pambano la Tisa
Wapambanaji: Emanuel Mwakyembe Vs Juma Choki
Uzito: Super feather weigh
Rounds: 8
Mshindi: Pending
Wamezingua sana hawa.
Huwezi kuweka mapambano mengi hivi ya ufunguzi.
Hili pambano la Choki na Mwakyembe ni zuri
Sina hakika wana mapambano mangapiBado round ngap za utangulizi?
Wameua mudi kabisa wamezidiwa na wale mademuHawa waliopo saa hizi ndo wabovu kupita
Yes inalipiwa lakini ukiwa na king'amuzi cha azam kilicholipiwa unaweza kuunganisha device moja (sim au tablet) kwenye app bure.Dah sina hiyo. Inalipiwa?
Wameua mudi kabisa wamezidiwa na wale mademu
Itakua saa nane usiku huu, maana saa hizi ni 01:36 na bado mapambano kama mawili kwa main eventPambano la mwakinyo linafanyika muda gani?
Mabatini police stationWandugu, Nikipanda daladala linalokwenda uvinza nishuke kituo gani ili nifike hapo mlimani mji.?
Mi nimeghairi kuangalia.. Naenda kulala. Wanazingua sanaMichezo mingine ndio maana inakosa mashabiki, mamechi mengi ya utangulizi si yangeanza saa tano asubuhi huko.
Hadi nilisinziaHawa waliopo saa hizi ndo wabovu kupita
Huyu anawaweka watu macho mpaka muda huo kwa ngumi gani?Itakua saa nane usiku huu, maana saa hizi ni 01:36 na bado mapambano kama mawili kwa main event