Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lake dhidi ya Tshabangu Kayembe

Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lake dhidi ya Tshabangu Kayembe

Huyu jamaa anayeongea saa hizi sijui nani huko, kamtaja Magu naona washkaji wote hapa wamesonya vibaya mno
 
Huyu alitakiwa awe amelala na Wajukuu zake au nalala anakoroma not jukwaani
 
Mkuu huyu Dulla kiduku mbona sijaona hapa matokeo yake au ninamakengeza?
 
Hizi ni ngumi au mkutano wa siasa? Huyu jamaa na Kipara chake sijui nani, yaani kuwakaribisha wote waongeee!
 
Back
Top Bottom