Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lake dhidi ya Tshabangu Kayembe

Round ya pili imeisha, Mwakinyo anapiga body punch sana ila sioni jabs
 
Watangazaji waongo, ukiwasikiliza unaweza fikiri Mwakinyo anafanya vizuri sana
 
Round ya 6 na 7 Mwakinyo ameanza kunifurahisha
 
Yaani hizi ratiba za kiboya sana. Wakati mapambano ya utsngulizi yanaendelea, wahusika wanakuwa wapi? Watu wanashinda kwa sababu ya uchovu na usingizi
 
Ngoja sasa niende nikaangalie ngumi.
Kuna watu walianza kuangalia tv tangu saa 11 jioni ya tarehe 14 mwezi wa 8.mpaka leo tarehe 15
Yaani hizi ratiba za kiboya sana. Wakati mapambano ya utsngulizi yanaendelea, wahusika wanakuwa wapi? Watu wanashinda kwa sababu ya uchovu na usingizi

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…