Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lake dhidi ya Tshabangu Kayembe

Angalau Mwakinyo kapata 'kamkanda' japo sijui kama kanatambulika duniani[emoji1]
Mkuu hivi ipi sahihi?
Kuwa mwakinyo ana Ngumi nyepesi?
Au kayembe ana uwezo mkubwa wa kustshimili makonde?

Kama ni ngumi nyepesi kwanini asilimia kubwa ya mapambano aliyoshinda ni KO?
 
Ningekipigwa Mimi zile ngumi alizompiga mwakinyo yule jamaa hope ningekuwa kwenye jeneza.
 
Mkuu hivi ipi sahihi?
Kuwa mwakinyo ana Ngumi nyepesi?
Au kayembe ana uwezo mkubwa wa kustshimili makonde?

Kama ni ngumi nyepesi kwanini asilimia kubwa ya mapambano aliyoshinda ni KO?
Mwakinyo ana ngumi nyepesi kiasi ingawa Mkongo pia sio mbaya, ila angekutana na mpigaji mzuri angekaa maana kuanzia round ya 6 niliona ameshakubali . Kuhusu kumaliza kwa KO inategemea pia na aina ya wapinzani unaokutana nao
 
Mwakinyo hamna kitu atoke nje akapambane hata Malawi tu hapo tuone kama atachomoka hapa si anabebwa bebwa kama yai.
 
Mwakinyo ana ngumi nyepesi kiasi ingawa Mkongo pia sio mbaya, ila angekutana na mpigaji mzuri angekaa maana kuanzia round ya 6 niliona ameshakubali . Kuhusu kumaliza kwa KO inategemea pia na aina ya wapinzani unaokutana nao
Sura kapaka vumbi la Congo. Ndo maana ana vumilia ngumi alizo pigwa mpaka Shetani anakimbia.
 
Mkuu hivi ipi sahihi?
Kuwa mwakinyo ana Ngumi nyepesi?
Au kayembe ana uwezo mkubwa wa kustshimili makonde?

Kama ni ngumi nyepesi kwanini asilimia kubwa ya mapambano aliyoshinda ni KO?
Mwakinyo ngumi zake ni nzito ila Tshibangu Kayembe kidevu chake ni kizuri mno. Ni kweli anauwezo mkubwa wa kustahimili makonde. Naamini tshibangu atafika mbali kwenye boxing akiendelea kupata mazoezi na experience!
 
Ni kweli mkuu, hivi kumbe kumaliza round zote na bondia mkubwa.....ukiwa wewe upo chini ni Mafanikio?
Maana niliona amefurahi kabisa na kupiga goti kushukuru.....
 
Mimi masumbwi sijui, kwa hiyo sijui nani kashinda kwa bahati mbaya.
 
Hakuna kitu kama kushinda kwa bahati mbaya.
Ila kama unataka kujua mshindi wa pambano jana basi Hassan Mwakinyo ameshinda kwa pointi nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…