ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
We hujagonga chupa?Mwakinyo kashinda Round 1,2,6,7,8,9,10,11 hadi sasa kwa mujibu wa macho yangu. Kwa point ameshashinda, ajitahidi asipIgwe KO round ya mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hujagonga chupa?Mwakinyo kashinda Round 1,2,6,7,8,9,10,11 hadi sasa kwa mujibu wa macho yangu. Kwa point ameshashinda, ajitahidi asipIgwe KO round ya mwisho
Mkuu hivi ipi sahihi?Angalau Mwakinyo kapata 'kamkanda' japo sijui kama kanatambulika duniani[emoji1]
Mwakinyo ana ngumi nyepesi kiasi ingawa Mkongo pia sio mbaya, ila angekutana na mpigaji mzuri angekaa maana kuanzia round ya 6 niliona ameshakubali . Kuhusu kumaliza kwa KO inategemea pia na aina ya wapinzani unaokutana naoMkuu hivi ipi sahihi?
Kuwa mwakinyo ana Ngumi nyepesi?
Au kayembe ana uwezo mkubwa wa kustshimili makonde?
Kama ni ngumi nyepesi kwanini asilimia kubwa ya mapambano aliyoshinda ni KO?
Mwakinyo hamna kitu atoke nje akapambane hata Malawi tu hapo tuone kama atachomoka hapa si anabebwa bebwa kama yai.Mwakinyo ana ngumi nyepesi kiasi ingawa Mkongo pia sio mbaya, ila angekutana na mpigaji mzuri angekaa maana kuanzia round ya 6 niliona ameshakubali . Kuhusu kumaliza kwa KO inategemea pia na aina ya wapinzani unaokutana nao
Sura kapaka vumbi la Congo. Ndo maana ana vumilia ngumi alizo pigwa mpaka Shetani anakimbia.Mwakinyo ana ngumi nyepesi kiasi ingawa Mkongo pia sio mbaya, ila angekutana na mpigaji mzuri angekaa maana kuanzia round ya 6 niliona ameshakubali . Kuhusu kumaliza kwa KO inategemea pia na aina ya wapinzani unaokutana nao
Yes, sio mzuri kama watu wanavyompaishaMwakinyo hamna kitu atoke nje akapambane hata Malawi tu hapo tuone kama atachomoka hapa si anabebwa bebwa kama yai.
Le General Defao - Kayembe Tshentembah aubonoubouKAYEMBE TSHENTEMBA.
Kama unaangalia TV huku umefuata nini? Na hata kama ni kweli unaangalia TV kwani huu uzi umeandikiwa wewe? Uache ujinga ntakuzaba makofi sasa hivi!!!!Tunaangalia tv mkuu hamna aja ya kuelezea
Mwakinyo ngumi zake ni nzito ila Tshibangu Kayembe kidevu chake ni kizuri mno. Ni kweli anauwezo mkubwa wa kustahimili makonde. Naamini tshibangu atafika mbali kwenye boxing akiendelea kupata mazoezi na experience!Mkuu hivi ipi sahihi?
Kuwa mwakinyo ana Ngumi nyepesi?
Au kayembe ana uwezo mkubwa wa kustshimili makonde?
Kama ni ngumi nyepesi kwanini asilimia kubwa ya mapambano aliyoshinda ni KO?
Ni kweli mkuu, hivi kumbe kumaliza round zote na bondia mkubwa.....ukiwa wewe upo chini ni Mafanikio?Mwakinyo ngumi zake ni nzito ila Tshibangu Kayembe kidevu chake ni kizuri mno. Ni kweli anauwezo mkubwa wa kustahimili makonde. Naamini tshibangu atafika mbali kwenye boxing akiendelea kupata mazoezi na experience!
Mimi masumbwi sijui, kwa hiyo sijui nani kashinda kwa bahati mbaya.View attachment 1537327
View attachment 1537328
Pambano Kuu
Title: WBF intercontinental super welterweight
Wapambanaji: Hassan Mwakinyo(Tz) Vs Tshabangu Kayembe (Congo)
Rounds: 12
Matokeo: Hassan Mwakinyo, ameshinda kwa Points
Hassan Mwakinyo anatarajia kupambana leo Mliman City, hasimu wake ni Tshibangu Kayembe kutoka Congo. Pambano ni WBF intercontinental super welterweight
Mwakinyo amepigana mapambano 18, ameshinda 16 na kupoteza mawili. Ameshinda kwa Knock Out mara 11. Na katika Mawili aliyopoteza amepoteza moja kwa Knock Out
Kayembe amepambana mara 12, ameshinda mapambano 9, na amepata suluhu 3. Ameshinda kwa Knock out mapambano 3
Kutakuwa na mapambano ya utangulizi 12
Pambano la kwanza la utangulizi limekuwa kati ya
Washindani: Juma Habib na Abdul Juma,
Round 4
Mshindi: Abdul Juma ameshinda kwa points
Pambano la pili la utangulizi
Hamidu Kwata na Ayubu Ula
Round 8
Mshindi: Hamidu Kwata, kashinda kwa Knock out round ya kwanza ktk dk ya 2 na sekunde 15
Pambano la Tatu
Contestants: Ajemi Aman (stopa) Kutoka Temeke ni south paw Vs Musa Nassor, orthodox, kutoka Zanzibar
Uzito: Superwalter weight
Rounds: 6
Mshindi : Musa Nasssor kwa point, pia alifanikiwa kumpa knock down moja mtz
Pambano la nne
Wapambanaji ni wanawake
Light weight
Wapambanaji: Feriche Mashauri aka Boyka Vs Hajjath Shomari a.k.a mawe kama relini
Rounds: 4, Kila round Dk mbili
Mshindi: Feriche Mashauri, kwa point alimmpeleka chini mpinzani wake mara moja
Pambano la Tano
Wapambanaji: Abdallah Lioba Vs Issa Mbwana
Rounds: 8
Mshindi: Issa Mbwana, kwa points
Pambano la Sita
Wanawake
Uzito: Flyweight
Wapambanaji: Stumai Muki VS Leila Yazidu
Rounds: 4
Mshindi: Stumai Muki, kwa points
Pambano la Saba
Uzito: Super feather weight
Wapambanaji: Khalid Manje Vs Issa Nampepeche
Ushindi: Issa Nampepeche, kwa knock out ktk round ya pili
Pambano la nane
Wapambanaji: Ismail Gariatano(Mwanajeshi) Vs Said Zungu
Uzito: Super bantam Weight
Round: 6
Mshindi: Ismail Gariatano, kwa points
Pambano la Tisa
Wapambanaji: Emmanuel Mwakyembe Vs Juma Choki
Uzito: Super feather weight
Rounds: 8
Mshindi: Juma Choki, kwa points
Pambano la Kumi
Wapambanaji: Haidari Mchanjo Vs Baina Mazola
Uzito: Feather weight
Rounds: 8
Mshindi: DRAW/SULUHU/SARE
Pambano la kumi na moja
Wapambanaji: Seleman Kidunda (Mwanajeshi) Vs Shabani Kaoneka
Uzito: Super middle weights
Rounds: 8
Mshindi: Seleman Kidunda, kashinda kwa Technical Knock Out, Shabani Kaoneka aliumia bega, lakini alitumia mkono ulioumia kuwaapungia mashabiki. Ilikuwa ni round ya kwanza
Shabani Kaoneka ametangaza kujiuzulu masumbwi baada ya kushindwa kwa TKO, amesema kuna mengi ameyaona unaweza kufa uwanjani
Huyu aliyetangaza kuacha ngumi. Ana mapambano 29
Kashinda 7, katoa suluhu 7, Kashindwa 15, 8 kati ya aliyoshindwa ni KO
Pambano la Kumi na Mbili
Wapambanaji: Tony Rashid (Tz) Vs Yamikani Mkandawire (Malawi)
Uzito: Super Bantam
Rounds: 10
Mshindi: Tony Rashid, ameshinda kwa knock Out, round ya pili
Hakuna kitu kama kushinda kwa bahati mbaya.Mimi masumbwi sijui, kwa hiyo sijui nani kashinda kwa bahati mbaya.
Vyote sinaHuna TV bali una VT[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AbeehShunie
Nakusalimia dada[emoji137][emoji137]Abeeh
Asante sana kaka yangu [emoji847] uwe na jioni njemaNakusalimia dada[emoji137][emoji137]