Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lake dhidi ya Tshabangu Kayembe

Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lake dhidi ya Tshabangu Kayembe

Mwakinyo kashinda Round 1,2,6,7,8,9,10,11 hadi sasa kwa mujibu wa macho yangu. Kwa point ameshashinda, ajitahidi asipIgwe KO round ya mwisho
 
Mwakinyo analack powerpunches, angekuwa na ngumi kali angemaliza pambano by Round 7-8
 
Ushindi by Unanimous Decision (UD) no doubt
 
Angalau Mwakinyo kapata 'kamkanda' japo sijui kama kanatambulika duniani[emoji1]
 
alivaa bukta nyekundu
si ndio mwakinyo
Mi sijui, sijachek. Kavaa nyeupe, mpinzani wake njano

Hao uliowaona yalikuwa mapambano ya utangulizi ambayo yalikuwa mengi.
Screenshot_20200815-043015.jpg
Screenshot_20200815-042950.jpg
Screenshot_20200815-042856.jpg
Screenshot_20200815-042508.jpg
 
Back
Top Bottom