Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Sawa huyo Mwakinyo ana laana hiyo, hao ambao hawana laana yoyote wana mafanikio gani kwenye huo mchezo??Huyu mtoto Mwakinyo ana laana ya kuwatukana viongozi wa ngumi Tanzania.
Refer kauli iliyowahi kutolewa na Raisi wa tasnia hiyo wakati huo marehemu Yassin akimtaka aombe radhi akakataa,mafanikio kwake yatakuwa finyu sana.