Sawa huyo Mwakinyo ana laana hiyo, hao ambao hawana laana yoyote wana mafanikio gani kwenye huo mchezo??Huyu mtoto Mwakinyo ana laana ya kuwatukana viongozi wa ngumi Tanzania.
Refer kauli iliyowahi kutolewa na Raisi wa tasnia hiyo wakati huo marehemu Yassin akimtaka aombe radhi akakataa,mafanikio kwake yatakuwa finyu sana.
Pambano limeisha round 4. Nilisema hapa.Ushindi wa Mwakinyo ni kuvuka round 6
Una la kusema?You're very against mwakinyo..unajua nyingi kila comment zako...unajua nini..wewe mungu...toka zako hapa
Unaonekana ni mwanaume mwenye gubu sana..mwanamke wako utachapiwa sana kila ukisusa susa hovyo wewe...endeleaUna la kusema?
Viatu vinambana,na bado kwenye Instagram yake anatoa maelezo uku akiwa kavaa viatu hivyo hivyo.
Ngumi nzito za mzungu mzee.
Unatoka nje ya mada mkuu.Unaonekana ni mwanaume mwenye gubu sana..mwanamke wako utachapiwa sana kila ukisusa susa hovyo wewe...endelea
Ulipoteza simu nini mzee?Unatoka nje ya mada mkuu.
Mkuu majukum ni mengi,Ulipoteza simu nini mzee?
Baada ya mwezi umefufua uzi[emoji1787]