Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Natandika mkeka wangu kwa mwakinyo japo najua atoboi,liam smith ni hatari..Nimeona ana odds 10 kwenye makampuni ya betting. Lazima nimdhamini.
itakua vizuri akishindateam Mwakinyo nipo hapa,sala na dua ni muhimu sana kwa mwamba.
Hakuna anayemchukia ila hatoboiMwakinyo alikuwa anawapiga wazungu huko huko bila Tanzania kujua raia wake anapigana na alinyimwa mpaka bendera mpaka mwakiyembe akaingilia kati na leo hii kuna watu wanamchukia mwakinyo licha ya njia alizopitia kweli bongo fanikiwa uchukiwe
Kila la kher mtoto wa tanga wadigo wako pamoja na wewe bila kusahau makorora yote inasimama kesho kumuangalia kijana shujaa wa mtaa wao.
Amesema shehe atamfanyia dua lkn mwisho wa siku yey ndio yuko kaburini akipigania uhsi wake aliojiwa na bbc dirateam Mwakinyo nipo hapa,sala na dua ni muhimu sana kwa mwamba.
Kaburini halafu anapigania uhai? Alikuwa kavuta bangi?Amesema shehe atamfanyia dua lkn mwisho wa siku yey ndio yuko kaburini akipigania uhsi wake aliojiwa na bbc dira
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
hivi mitumbwi za vibwengo bado zipo mkuu? niliwahi kusafiria kwenda Pemba.maana niko bize for now sijapata safari ya kwenye maji.Natandika mkeka wangu kwa mwakinyo japo najua atoboi,liam smith ni hatari..
Kama namwona mwakinyo kazamia mtumbwi wa kibwengo,kesho atapigwa kama ngoma.
Boxing sio mpira,mwamba atoboi
Ipo mkuu,karibu kisiwanihivi mitumbwi za vibwengo bado zipo mkuu? niliwahi kusafiria kwenda Pemba.maana niko bize for now sijapata safari ya kwenye maji.