Hassan mwakinyo sasa ni bondia nambari 11 duniani

Kama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
shida ni pesa kucheza na hao mabondia wa nafasi za 1-5 kama kuna pesa sitatokea amesema anaweza cheza
 
Kama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Tupe rekodi ya huyo wa nafasi ya 10 je kapigana na hao wa nafasi ya 1-5 au vigezo vyako ni kwa Mwakinyo tu? Ukiangalia hiyo 12 bora Mwafrika ni Mwakinyo tu, kwamba mabondia wa mataifa mengine ya kiafrika hawajui kama kuna janja janja ili uwe kama Mwakinyo?
 
Kama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Unajua wa kwanza kumualika na kuja hapa agharama yake kiasi gani usikjtte ni kati ya miliioni 500 mpaka bilioni moja hayo ni malipo tu, bado tiketi za ndege, kula, usafiri wa ndani, lazima aje na crew yake.. Hao si mabondia wa crown athletes mzee..

Tusiwe na hate kiasi hicho, mtanga kuna jambo analipambania, nae afikie kuwa na thamani kubwa kiasi akialikwa nae, fight moja akombe milioni 250, 500 huko.

Ngumi sio mchezo mzur, upigwe miboamba ya kichhwa uambulie millioni 3

Watz tuna hate saana, si mwakinyo, si samata hata domo DIAMOND. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…