Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuja kufa na kihoroKama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Maboya kivipi??Kama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
shida ni pesa kucheza na hao mabondia wa nafasi za 1-5 kama kuna pesa sitatokea amesema anaweza chezaKama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Naomba link yenye hii ranking inayoonyesha position ya MwakinyoBondia Hassan MWAKINYO ameweza kupanda kwa nafasi mbili kutoka kuwa bondia NAMBARI 13 na sasa ni bondia NAMBARI 11 duniani katika uzito wake wa walterweight....View attachment 1928954View attachment 1928955
Tupe rekodi ya huyo wa nafasi ya 10 je kapigana na hao wa nafasi ya 1-5 au vigezo vyako ni kwa Mwakinyo tu? Ukiangalia hiyo 12 bora Mwafrika ni Mwakinyo tu, kwamba mabondia wa mataifa mengine ya kiafrika hawajui kama kuna janja janja ili uwe kama Mwakinyo?Kama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Mpumbavu.Kama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Mpumbavu mwenyewe Mkuu. Ukweli ni kuwa hakuna bondia humo zaidi ya janjajanjaMpumbavu.
Watanzania wengi sijui kwa nini mna roho mbaya, wivu na chuki za kiboya boya
Utapata taabu sanaMpumbavu mwenyewe Mkuu. Ukweli ni kuwa hakuna bondia humo zaidi ya janjajanja
Aisee kumbe wanapigana wapate madem!Huyo na mkata kimeo wa Moro wanapigana za kitaa kugombea vicheche tu.
Aisee kumbe wanapigana wapate madem!Huyo na mkata kimeo wa Moro wanapigana za kitaa kugombea vicheche tu.
Unajua wa kwanza kumualika na kuja hapa agharama yake kiasi gani usikjtte ni kati ya miliioni 500 mpaka bilioni moja hayo ni malipo tu, bado tiketi za ndege, kula, usafiri wa ndani, lazima aje na crew yake.. Hao si mabondia wa crown athletes mzee..Kama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Hao kumi bora ni moto akuna mzee hapo