Hassan mwakinyo sasa ni bondia nambari 11 duniani

Kama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Kwahiyo walioweka hizi rank ni kaka zake na jamaa zake kule Tanga? Mbona mi nilimtwanga jirani lkn simo?
Wivu mbaya sana. Roho za kichawi hizi. Basi muweke wa 1000 wewe roho yako ifurahi
 
Kama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Yaani kwa uelewa wako unajua pambano wanaomba tu linakuja ..... hizo ni biashara za watu hao moja mpaka tano usifikiri ni rahisi tu kusema namtaka fulani ukapigana nae kama huna mzigo wa maana na nafasi nzuri katika ranks za dunia
 
Yeye anavyomkatalia Kiduku ndo hivo hivo pia na yeye anakataliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…