Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hamna kitu hapo.
Muda utaongea.
Muda utaongea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo walioweka hizi rank ni kaka zake na jamaa zake kule Tanga? Mbona mi nilimtwanga jirani lkn simo?Kama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Bora wewe umependa kujilidhisha kuliko kupinga tu.Naomba link yenye hii ranking inayoonyesha position ya Mwakinyo
Utakufa kwa wivu, aisee haya sasa yuko nafasi hiyo weka pingamizi awe wa 51Mpumbavu mwenyewe Mkuu. Ukweli ni kuwa hakuna bondia humo zaidi ya janjajanja
Huu Ni wivu wa kikeKama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Kijana aendelee kupambana
Yaani kwa uelewa wako unajua pambano wanaomba tu linakuja ..... hizo ni biashara za watu hao moja mpaka tano usifikiri ni rahisi tu kusema namtaka fulani ukapigana nae kama huna mzigo wa maana na nafasi nzuri katika ranks za duniaKama yuko fit kweli aombe pambano na wa kwanza hadi wa tano hapo. Kazi yake kualika maboya tu na kubebwa na marefa. Hakuna bondia humo Mkuu
Yeye anavyomkatalia Kiduku ndo hivo hivo pia na yeye anakataliwaYaani kwa uelewa wako unajua pambano wanaomba tu linakuja ..... hizo ni biashara za watu hao moja mpaka tano usifikiri ni rahisi tu kusema namtaka fulani ukapigana nae kama huna mzigo wa maana na nafasi nzuri katika ranks za dunia
Wapinzani wake wote ni wa kijanja janja.. sio chuki au dharauUmenena vyema mkuu.
Muda utaongea.