Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Na ndio lengo la mwakinyo. Kauli yake iyo itaamsha mapromota wafikirie kuandaa pambano la hao wawili. Ingawa sina uhakika kama inawezekana nahisi kiduku yupo uzito wa juu kidogoWatanzania kwa umbea hayo mambo mabondia wanafanya maksudi ili ku promote mapambano yao ila watu wanayachukulia serious kuliko wahusika wenyewe.
Boxing lazima maneno majigambo yawepoNi vema angekaa kimya, kama hataki kupigana nae, hapaswi kuleta maneno maneno,
Mwakinyo alipata nafasi nzuri brand yake ikakuwa, lakini uswahili na kutokujielewa vinamshusha taraatibu.
Mara ya kwanza nilimuelewa saana alipokataa kupigana na kiduku(kwa sababu fulani fulani nilimuona yupo sahihi kabisa), akahamia marekani nikasema yes, sasa hivi wabongo titakuwa na professional boxer kweli kweli sio PROFESHNO BOKSA, Lakini toka auze pambano la uingereza, kisha huku analeta nyodo za kishoga naona anajiharibia tu.
Umeona eee,sahv ameshaona ana mmudu ndo anajishebedua,zaman aliogopaAnachokifanya mwakinyo ni kucheza na alama za nyakati. Wakati ule kiduku yuko hot mwakey alikua anamkataa kwa kigezo hapigani ngumi local, sasa hivi kiduku ame drop, si yule wa zamani ndio mshkaji anamchokonoa.
Atoke promoter waweke mzigoUmeona eee,sahv ameshaona ana mmudu ndo anajishebedua,zaman aliogopa
Mfaume apigane na pialaliAaahah nilitaka mwakinyo na mfaume sio....Kiduku
Hiyo up next bado tunasubiriaaa sanaaaaa......baada hapo mfaume na mwakinyo......game 2 muhimu sanaaaaMfaume apigane na pialali
Ova
Majigambo yanaenda na vitendo.. Mie binafsi nilimuelewa kipindi kile, baada ya kuibukia uingereza mapromota wakawa wanaleta shobo kumpiganisha na kiduku, wakati huo yeye akilinda kile alichokipata uingereza, kina kiduku walitaka kama ngazi kwa mwakinyo.Boxing lazima maneno majigambo yawepo
Ova