Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Maneno na vitisho kwa mabondia ni kawaida, sijui kwanini mnakerwa na Mwankinyo kiasi hiki.Ni vema angekaa kimya, kama hataki kupigana nae, hapaswi kuleta maneno maneno,
Mwakinyo alipata nafasi nzuri brand yake ikakuwa, lakini uswahili na kutokujielewa vinamshusha taraatibu.
Mara ya kwanza nilimuelewa saana alipokataa kupigana na kiduku(kwa sababu fulani fulani nilimuona yupo sahihi kabisa), akahamia marekani nikasema yes, sasa hivi wabongo titakuwa na professional boxer kweli kweli sio PROFESHNO BOKSA, Lakini toka auze pambano la uingereza, kisha huku analeta nyodo za kishoga naona anajiharibia tu.
Isitoshe yeye ni mwanaume wa Pwani, Tena pwani yenyewe ni Tanga, mnategemea nini zaidi