Hassan Nasrallah Yupo Salama

Hassan Nasrallah Yupo Salama

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
667
Reaction score
1,582
Kiongozi mkuu wa Kikundi/chama cha Kigaidi cha Hezbollah, yupo salama na mabikra 72.

Ana himiza baada ya kugundulika njia rahisi ya kwenda kupokea hao mabikra ni kuwachokoza watoto wa Yakobo

Kwahiyo Dear Keyboard warrior wa JF kuanzia kwq bwana Kimboy, maralia 2 na bwana utamu . Na wengine wengi wasiishie tu kwenye keyboard hapa JF milango ipo wazi na wao waende zao egypt kuna njia za panya za kuingia Gaza, Syria, Iran, Yemen magharibi na iraq na kusini mwa Lebanon. Waachane na porojo Wanazopata kuhusu madege na intelejensia ya Wayahudi, hao hawana lolote ila ni watoaji wazuri tu wa tiketi ya kupokea mabikra tu.
 

Attachments

  • 05A5B085-3D64-43A0-984C-CE59A21C9F94.jpeg
    05A5B085-3D64-43A0-984C-CE59A21C9F94.jpeg
    911 KB · Views: 3
Back
Top Bottom