Hassan Ngoma wa Clouds tv 360 ametupa jiwe gizani

Inasemekana Ruge Mutahaba kaamua kumrudisha haraka ' Jamaa ' hasa baada ya ' mkwara ' wa Mange Kimambi kwamba kwanini hapendi Watangazaji wake wamjadili / wamzungumzie Tundu Lissu. Inadaiwa kwamba kama leo ' Mtangazaji ' huyu asingesamehewa na kurudishwa ' Kundini ' basi Mwanadada ' Mghaibuni Mpinzani ' Mange Kimambi kuanzia leo alikuwa anaenda kutiririka na kuserereka na ' maovu ' kibao ya aibu ya Ruge Mutahaba ambayo pengine yangeweza hata kumuharibia ' career ' yake.

Pengine kwakuwa ' biti ' la Mange Kimambi ( Mghaibuni Mpinzani ) limeweza kufanikisha Yeye ( Hassan Ngoma ) kurudishwa ' Kundini ' labda ndiyo maana ' Jamaa ' nae kaamua ' Kujibatiza ' upya na kujiita Hassan Ngoma Mange Kimambi Dotto Bahemu.

Sasa Kazi imeanza na ndiyo Kumekucha. Mnaomfolo Mange Kimambi si vibaya mkatuambia baada ya leo Hassan Ngoma kuonekana akiwa katika Kipindi akiwajibika tena vizuri tu Yeye anasemaje au ana maoni gani. Je atawaombeni msahama aliwaowalisha ' matango pori ' yake au labda atakuwa na mapya zaidi?
Huyo jamaa kujipachika jina zisizo na msingi ni zwazwa huyu mange apambane na hali yake na familia yake huko sio kila kitu yeye anajua mbona yake na baba yake hayaweki hadharani ?
 
Inasemekana Ruge Mutahaba kaamua kumrudisha haraka ' Jamaa ' hasa baada ya ' mkwara ' wa Mange Kimambi kwamba kwanini hapendi Watangazaji wake wamjadili / wamzungumzie Tundu Lissu. Inadaiwa kwamba kama leo ' Mtangazaji ' huyu asingesamehewa na kurudishwa ' Kundini ' basi Mwanadada ' Mghaibuni Mpinzani ' Mange Kimambi kuanzia leo alikuwa anaenda kutiririka na kuserereka na ' maovu ' kibao ya aibu ya Ruge Mutahaba ambayo pengine yangeweza hata kumuharibia ' career ' yake.

Pengine kwakuwa ' biti ' la Mange Kimambi ( Mghaibuni Mpinzani ) limeweza kufanikisha Yeye ( Hassan Ngoma ) kurudishwa ' Kundini ' labda ndiyo maana ' Jamaa ' nae kaamua ' Kujibatiza ' upya na kujiita Hassan Ngoma Mange Kimambi Dotto Bahemu.

Sasa Kazi imeanza na ndiyo Kumekucha. Mnaomfolo Mange Kimambi si vibaya mkatuambia baada ya leo Hassan Ngoma kuonekana akiwa katika Kipindi akiwajibika tena vizuri tu Yeye anasemaje au ana maoni gani. Je atawaombeni msahama aliwaowalisha ' matango pori ' yake au labda atakuwa na mapya zaidi?
Mkuu muajiri wangu anakaribia kuniachisha kazi,naomba mawasiliano ya Mange anisaidie nisifukuzwe kama Hassan Ngoma.
 
Bado tunawasubiri Mwigulu na January pia kumshukuru Mange maana mkulu akitaka kuwatema siku nyingi lakini baada ya Mange kuziropoka habari hizo mkulu akaghairi maana hataki Mange aonekane mkweli .

Ushauri kwa wengine,ukiona unataka tumbuliwa haraka shtaki kwa Mange akiliongea tu mkulu ataahirisha ili kumfanya Mange aonekane mwongo
Duuuh
 
Back
Top Bottom