Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Nafatilia ziara ya Rais Uhuru Kenyatta na William Ruto katika kampeni za Jubilee huko Mombasa Kenya aliyekuwa mgombea wa Wiper kwenye nafasi ya Ugavana Hassan Omar ameonyesha ushujaa wa hali juu kwa hotuba aliyoitoa kwani amembomoa kabisa Gavana Joho jinsi anavyoshiriki kwenye Ufisadi. Amesema watu wa Mombasa wanataka maendeleo sio kumuona Ali Kiba jukwaani akikata kiuno
Ni uhakika huyu Hassan Omar mwanasheria/mwanaharakati kutoka Moi University kama Jubilee ikishinda uchaguzi wa 26 Oct 2017 atapata nafasi kwenye baraza la mawaziri.
Ni uhakika huyu Hassan Omar mwanasheria/mwanaharakati kutoka Moi University kama Jubilee ikishinda uchaguzi wa 26 Oct 2017 atapata nafasi kwenye baraza la mawaziri.