Hassan Omar Ameonyesha Ni Kiongozi Bora wa Pwani/Mombasa

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Nafatilia ziara ya Rais Uhuru Kenyatta na William Ruto katika kampeni za Jubilee huko Mombasa Kenya aliyekuwa mgombea wa Wiper kwenye nafasi ya Ugavana Hassan Omar ameonyesha ushujaa wa hali juu kwa hotuba aliyoitoa kwani amembomoa kabisa Gavana Joho jinsi anavyoshiriki kwenye Ufisadi. Amesema watu wa Mombasa wanataka maendeleo sio kumuona Ali Kiba jukwaani akikata kiuno
Ni uhakika huyu Hassan Omar mwanasheria/mwanaharakati kutoka Moi University kama Jubilee ikishinda uchaguzi wa 26 Oct 2017 atapata nafasi kwenye baraza la mawaziri.
 
Wakenya wanataka maendeleo na sio sarakasi kila siku za Joho na Raila, Omar yuko sawa and will be the next Governor after Joho and will probably spearhead development of the coastal people who for a long time deemed themselves marginalized whilst in reality bad leadership is to blame. Kinacho nifurahisha na Kenya ya sasa ni the emergence of younger politicians and also an educated wananchi who want to see development not empty rhetoric which has set precedence since independence leading to ethnic blame games.
 
Uchaguzi wa Kenya Raila Odinga anataka kurudia makosa ya Seif wa CUF ya kugoma. Anaondoka kwenda UK na US hiyo dalili Uhuru Kenyatta ni mshindi wa uchaguzi mkuu 26 October 2017
 
Joho has been eerily quiet...hope all is good ....
 
Omar is as dead as Najib Balala as far as Mombasa politics is concerned.
Abdulswamad Sharrif Nassir is the incoming Governor. Take it from me.
 
Uchaguzi wa Kenya Raila Odinga anataka kurudia makosa ya Seif wa CUF ya kugoma. Anaondoka kwenda UK na US hiyo dalili Uhuru Kenyatta ni mshindi wa uchaguzi mkuu 26 October 2017
Na Raila akirudi huko majuu anakuja na idea yake kukusanya saini ya kutokua na imani na Uhuru....na kuwaaminisha wafuasi wake watakwenda kumtoa Uhuru Ikulu....
muacheni akapumzishe akili kwani hana jipya na ameishiwa mbinu kwa sasa...
 
Omar is as dead as Najib Balala as far as Mombasa politics is concerned.
Abdulswamad Sharrif Nassir is the incoming Governor. Take it from me.
in politics th word "dead" s not an option unless u become dead for real...t just having a ready mind being active wt th common mwanachi n havin a hawk eye not to join a sinking ship..Omar should learn from Joho a few tips
Balala even if in Coast he seem like an ex...come to Jubilee he stil useful to em one way or th other..
 
Omar is as dead as Najib Balala as far as Mombasa politics is concerned.
Abdulswamad Sharrif Nassir is the incoming Governor. Take it from me.

Huyu Sharrif Nassir hamna anachokifanya pale mvita pananuka tu hana lolote, kama wamombasa watamchaguwa basi watalia milele, heri Omar sarai ama Suleiman shahball.
 
Back
Top Bottom