figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Unakumbuka hiiDereva wa Kampuni ya Usangu ametekwa huko Kongo.
Kwanini Serikali ya Tanzania inakalia kimya hivi vitendo? Kazi kutangaza Bandari ya Dar, lakini Watanzania wakitoa mzigo Dar kupeleka Congo, hawarudi na hakina anaye jali. Je, Makubaliano ya Tanzania na Kongo yapoje kibiashara?
View attachment 3521803
Ametekwa na anapiga Self? Aje akutane na watekaji wa bongoDereva wa Kampuni ya Usangu ametekwa huko Kongo.

Wanasaidiana.. Hata Ukonga watu wanapiga, simu. Tatizo watoto hamjui maisha. Kommenti kwa kujifurahhisha.Ametekwa na anapiga Self? Aje akutane na watekaji wa bongo