figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Uongozi wa kampuni ya Usangu Logistics unapenda kuwajulisha kuwa umefanya maboresho ya mfumo wa malipo ya mileage kwa madereva wote kwenye Route za Congo, Zambia na Route nyingine zote.
Maboresho haya yataanza Leo 05/11/2025 kwa gari zinazoanza kutoka Dar na maboresho haya yamezingatia uhalisia wa safari na ufanisi wa kazi.
Maboresho haya ni kama ifuatavyo:
ROUTE YA DAR- CONGO- DAR dereva atalipwa kama ifuatavyo:
1. Dereva ukiwa dar unataka kuanza safari utapewa shilingi MILLION MOJA (1,000,000) ambayo itakuwa ya dar hadi unapofika Kasumbalesa.
2. Ukifika Kasumbalesa utapewa Dollar 200 na hii utaitumia siku 20 za mwanzo baada ya kufika upande wa Congo.
3. Baada ya kuingia upande wa Congo, ukaongeza Visa utapewa Dollar 50 ya kuongeza Visa na dollar 50 ya OVERSTAY. Na kila bada ya siku 10 utakuwa unapewa dollar 50.
4. Ukiwa unarudi ukifika Ndola utapewa Dollar 100
5. Ukifika Tunduma utapewa 165,000 hadi Dar.
6. Bonus utapata kama ilivyoainishwa na kampuni
Pia, ukishusha mzigo hakikisha unakuja Yard na documents zako zote ili upate return yako mapema zaidi na usitoe gari Yard kama hujalipwa Return na Bonus yako.
Mengine mtayajua zaidi ndani ya mkataba wa safari.
Asanteni
TUSUBIRI MADEREVA WA USANGU WATATUPA MAJIBU