TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

Wasalimie akina Emilio Mzena na Apson Mwang’onda. Waambie tumezimiss “teeth” za nyakati zao
 
Kuwa na Upendo na Watu wote
 
Hapana,nina mapenzi makubwa na watu wote. nimesema kama alitenda mema katika kutekeleza ujasusi wake, Bwana Yesu, Mungu wetu wa Mbinguni ampokee kwenye mkono wa kulia kwake!
Kama alistaafu miaka 45 iliyopita maana yake Mungu anampenda
 
Apuumzike kwa amani
 
Ndio maana nilisoma mahali kipindi Mwl.Nyerere anataka kuachia ngazi kulikuwa kuna mpango Mwenyekiti wa Chama ndio awe Amri Jeshi Mkuu.

Sijui kama ni kweli.
 
Duuh, Bwana ametoa,na Bwana Ametwaa, Jina la Bwana na Lihimidiwe, Amina.
 
Kifo ni kifo tu
 
Kumbe alikua mchumi, binafsi sioni kama elimu yake kwenye uchumi na nafasi nyeti aliyokua nayo imekua na mchango mkubwa Kwa taifa,
Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpe, alifanya makubwa Kwa taifa ila kwenye uchumi taasisi yake imefeli pakubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…