TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

Mtoto wa mzee nani pale. Mimi bado nipo Ada jirani na Mzena ni mteja wa kitimoto pale kwao ( mama's pub.)
Na yule mtt mmj alikuwa teja
Marehemu kitambo,ile Peugeot ya mzee nishaitwangaa sanaaa
Msalimie m.sarakikyeee huko

Ova
 
Na yule mtt mmj alikuwa teja
Marehemu kitambo,ile Peugeot ya mzee nishaitwangaa sanaaa
Msalimie m.sarakikyeee huko

Ova
Mama sarakikyeee ni mtaa na manara na moses ni mwenyekiti wa serikali za mtaa kule ada.
 
Mama sarakikyeee ni mtaa na manara na moses ni mwenyekiti wa serikali za mtaa kule ada.
Naelewa hilo,mtaa huo kulikuwa na hospital ya dr Andrew kpindi hicho ilikuwa maarufu
Naona mdg wangu sarakikya anautamani udiwani wa kino ila
Mambo kdg magumu

Ova
 
R.I.P MKURUGENZI
 
Naelewa hilo,mtaa huo kulikuwa na hospital ya dr Andrew kpindi hicho ilikuwa maarufu
Naona mdg wangu sarakikya anautamani udiwani wa kino ila
Mambo kdg magumu

Ova
Sawa kabisa. Hana sifa, za kuwa diwani hata kuwa mwenyekiti kwa kipindi cha pili ilikuwa mbinde sana.
 
Huyu bado kijana. Mke wake tulisoma wote secondary school, Arusha.
Huyu mazee kama sikosei aliwahi kuwa afisa ubalozi kwenye nchi fulani hivi na baadae mzee JK akampa udijii wa TISS.
 
Huyu bado kijana. Mke wake tulisoma wote secondary school, Arusha.
Ni yule binti mweusi ? Niliwahi kuwaona Dom
Kama ni yeye ni bi mdogo au mke wa kwanza waliachana/fariki?
 
Vipi amesha zikwa.na kama amezikwa watu wado wanaukumbuka uwepo wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…