TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

Kibasa hakusomea kweli mambo ya mifugo Bagamoyo?
Kibasa alianzia Mkwawa High School na baadae Mlimani kisha akaajiriwa na Bakwata kama mwalimu wa Chemistry’ yeye na mw simu Shawala Chini ya TX Sheikh na makamu wake Chaudry

Kitambo sana bwashee 😂
 
Huyu ndio kisa kikubwa cha Big Ben kugombana na mshikaji wake Jenerali Ulimwengu
Ulimwengu alikua akiandika kupitia rai,'ufisadi' wa mkapa,alimkalia kooni kwelikweli,tangu 1997-2000s
 
Kibasa alianzia Mkwawa High School na baadae Mlimani kisha akaajiriwa na Bakwata kama mwalimu wa Chemistry’ yeye na mw simu Shawala Chini ya TX Sheikh na makamu wake Chaudry

Kitambo sana bwashee 😂
Siyo Sheikh wewe bali ni SEKH. Yale matege ya Chaudhary yalikuwa balaa. Sasa ni lini BAKWATA imewahi kuimiliki The Highlands secondary school?
 
Siyo Sheikh wewe bali ni SEKH. Yale matege ya Chaudhary yalikuwa balaa. Sasa ni lini BAKWATA imewahi kuimiliki The Highlands secondary school?
The Highlands ni shule ya Bakwata ila wengi walikuwa hawajui

Fomu ya maombi nilichukulia Bakwata HQ pale Kinondoni pamoja na ya Kinondoni Muslim na Kibohehe Moshi 😄🙏
 
Poleni sana wafiwa wote.

Ningependa kujua alikuwa anashauri nini kwa yanayoendelea hapa nchini kama TISS veteran, maana kwa hali ilivyo sasa ni dhairi TISS ya sasa imeshindwa kazi na inahitaji msaa kutoka kwa watu wa aina yake.
 
Sina uhakika kama Colonel Dr. Hassy Kitine PhD alipata nafasi ya kuandika kitabu chochote.

Nchi zingine wastaafu wa intelligence, maofisa wa jeshi walioshirik8 operesheni mbalimbali, polisi misheni za hatari n.k wanaruhusiwa kuandika kitabu au vitabu ili kutia hamasa vijana .

Mfano wakuu wa vitengo India huruhusiwa kuandika na pia kufanyiwa interview na vituo vya media .

TOKA MAKTABA :

Former R&AW Chief Vikram Sood​


View: https://m.youtube.com/watch?v=RqZP-QZ9lx8
The Research and Analysis Wing (R&AW or RAW) is the foreign intelligence agency of the Republic of India.
 
Bharatvaarta podcast, we feature Vikram Sood, the former head of Research & Analysis Wing (RAW) of India.

View: https://m.youtube.com/watch?v=0HgMeM42mOs
This conversation explores a comprehensive range of topics centered on global politics and media narratives. He talks about the decline of U.S. influence, with a focus on ongoing conflicts such as the Ukraine war and Israel-Palestine tensions, along with the difficulties authentic journalism faces due to media agendas. The dialogue also delves into India's evolving security in light of terrorism and geopolitical forces, the role of technology in intelligence, and the influence of private corporations on national defense..
Source : Bharatvaarta
 
Back
Top Bottom