Hasunga: Mauti yalimkuta Milton Lupa wakati akienda kuripoti nafasi mpya

Hasunga: Mauti yalimkuta Milton Lupa wakati akienda kuripoti nafasi mpya

Kwahio waliotangaza hio nafasi mpya kwenye vyombo walikuwa hawana hio taarifa ? Au walishindwa nini kumfuta / kutokutangaza huo uhamisho ?

Nadhani haya ni mazungumzo baada ya habari ambayo hayahusiani na kukosa umakini kwa watendaji
 
Sijaelewa............

Unasema huyo Milton Lupa, alikuwa akienda Kwenye kituo kipya Cha uhamisho, ambacho ni VETA

Sasa sielewi, je kulikuwa na teuzi 2 mpya, hiyo ya VETA na hiyo ya Ikulu ya Mkurugenzi wa Kilolo??😎
Mwezi May aliteuliwa kwa kazi nyingine bila shaka alikuwa hajaripoti. Akateuliwa tena ndani ya week mbili tatu hivi
 
Sijaelewa............

Unasema huyo Milton Lupa, alikuwa akienda Kwenye kituo kipya Cha uhamisho, ambacho ni VETA

Sasa sielewi, je kulikuwa na teuzi 2 mpya, hiyo ya VETA na hiyo ya Ikulu ya Mkurugenzi wa Kilolo??😎
Kwa statement ya hasunga, hiyo ndio maana yake.
 
Suti hizi lazima ushonaji wake uangaliwe upya, R.I.P Lupa
 
Akiongea na waandishi wa habari Marehemu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kilolo Mh. Lupa alisema "Acheni uzushi, mbona Wakurugenzi wa Halmashauri nyingi ni Marehemu?"
 
Back
Top Bottom