johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Binafsi sijashangaa kabisa tukio la kuutangazia Umma matokeo ya Sensa kupitia mkutano wa hadhara
Mazoezi ya Sensa hugharamiwa na UN so kama Chenji imebaki na ikaingizwa kwenye Mzunguko wa Fedha kwa njia ya Sherehe kuna ubaya gani?
Ni kawaida sana
J4 Ubarikiwe sana!
Mazoezi ya Sensa hugharamiwa na UN so kama Chenji imebaki na ikaingizwa kwenye Mzunguko wa Fedha kwa njia ya Sherehe kuna ubaya gani?
Ni kawaida sana
J4 Ubarikiwe sana!