Hata Abass Tarimba na Sportspesa yake wanaamini Simba anashinda hii game

Hata Abass Tarimba na Sportspesa yake wanaamini Simba anashinda hii game

Hi mechi simba hashindi.. akijitahidi sana anapata sare.

Betting company zimewatega watu ziwapige hela zao
 
Atapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee.

Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda, akishinda utapata 167,000
u ki bet laki moja kwa yanga wakishinda utapata 485,000, UNAJUA NI KWA NINI?


View attachment 1838755
Nyenye nyenye nyeeee
 
Back
Top Bottom