Hata akinunaje ataongea tu...

Hata akinunaje ataongea tu...

Hahahaa basi hii tekniki tunaitumia wengi wetu kumbe maana juzi kati nilichelewa kurudi kidogo (yaani saa mbili natakiwa home kitambo tu) basi zikaanza kutumwa sms za maudhi na mimi nikajibu hivyo hivyo, baadae nikakaa kimya, kufika naona mmh hapa hamna amani kabisa hapa, basi nikapitiliza hadi chumbani, nikavua nguo nikajifanya nataka niingie kuoga (kuna choo chumbani) nikajifunga taulo mara nikamuita kwa sauti , hajaitikia wala hajaja nikatoka na taulo hadi Jikoni nikamwambia "yaani mi naumwa nimeanguka chooni huko nakuita halafu umekaa kimya" halafu nikaondoka zangu nikarudi rum mara huyoo anakuja, oooh sikuskia, jamani, tatizo nini? blah blah kibao, moyoni nacheka tu, pale pale nikajilza magotini alikua amekaa kitandani...nikautumia huo muda kuganga yajayo.......................

Haaa Ndoa bhanaa usani juu ya usaniii afu watu wanasema hajui kuigiza?!!..ebu kula haka ka azonto

 
Last edited by a moderator:
Nimefurahishwa sana na michango yenu, mi kuna siku tulikuwa na mgogoro mkali, mume wangu akawa anadrive huku tunabishana, hasira zilimpata ghafla akasimamisha gari njiani, nikahisi kabisa kwamba siku hiyo nachapwa, nafikiri ni Mungu, Lengo halikutimia, nina miaka saba ya ndoa na kids wawili
 
nimefurahishwa sana na michango yenu, mi kuna siku tulikuwa na mgogoro mkali, mume wangu akawa anadrive huku tunabishana, hasira zilimpata ghafla akasimamisha gari njiani, nikahisi kabisa kwamba siku hiyo nachapwa, nafikiri ni Mungu, Lengo halikutimia, nina miaka saba ya ndoa na kids wawili

Haaa, Pole mlimalizanaje?
 
Ukifika, mwite chumbani umuoneshe panapouma wapi ili akutane na dushe lililokasirika. LOL
Wewe Kaunga unavituko dada yangu. dushe lililokasirika silitamdhuru mwenzio hiyo michomo si itakuwa balaa hadi michubuko huko ndani
 
Back
Top Bottom