Uchaguzi 2020 Hata baada ya kudhalilishwa na OCD, Freeman Mbowe aendelea na Kampeni zake za Ubunge jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Hata baada ya kudhalilishwa na OCD, Freeman Mbowe aendelea na Kampeni zake za Ubunge jimbo la Hai


Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha CCM
Hajadhalilishwa na polisi. Yeye mwenyewe ndiye aliyejidhalilisha kwa kutumia lugha chafu kwa polisi.
 
Hajadhalilishwa na polisi. Yeye mwenyewe ndiye aliyejidhalilisha kwa kutumia lugha chafu kwa polisi.
Simnasema polis ni CCM, kwa hiyo hiyo ni kazi ya CCM. Ila msisahau kuwalipa mishahara kutoka mfuko wa chama.kama green guard. vinginevyo mtakuwa mnakosea.
 
OCD ni kiumbe mdogo sana kwa Nguvu ya wananchi alikuwa anashibitisha upuuzi wake tuu
Nguvu ipi ya mwananchi? Una jeshi wewe? Wananchi wote wanamkubali Mbowe kweni yeye nani? Msiwe wapuuzi,shaurini Afrika tuache siasa tujikite kufanya kazi za kujenga uchumi wetu kwa kutumia rasilimali zetu na hasa ardhi tuliyo nayo
 
Mbowe anashinda wasiwasi ni yule mwenye broken english, anatakiwa aachie nafasi awahi kwa ras simba umri unakimbia.
Kwani OCD atapiga kura huko Hai? Na kama ni hivyo atapiga kura ngapi?
 
Tuhakikishe tunakikataa hiki Chama
IMG_20201002_212858.jpg
 
Kura atakazo pata Mbowe ni nyingi kuliko alizo wahi kupata katika kipindi chochote kile
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa Lissu. Mmeteseka sana miaka 5 hakuna ongezeko la mshahara.
 
OCD aliletwa na ataondoka kama alivyokuja na kutuachia Hai yetu aliyoikuta, hakuna wa kuhangaika naye..!
 
Back
Top Bottom